Portada

MKIMBIZI SAFARINI ULAYA IBD

LULU.COM
03 / 2020
9781716981197

Sinopsis

Shida haipigi hodi, lakini hakuna shida isiyo na mwisho, wako wengi waliotangulia wamepata shida lakini shida zao zimebakia historia, wangine walitumia shida zao kuwa kisingizio cha kutorekea ng?ambo kwa kuteka ndege nyara kwa kutumia silaha za bandia lakini wakaishia kifungoni. Wengine walijaribu kuzamia meli na kuishia kutoswa baharini.Kufanya kazi kwa bidii ndiyo njia pekee ya kujiepusha na shida, tamaa ya kufika ng?ambo imeponza wengi. Wapo walioozea kifungoni, wapo waliokuwa chakula cha papa na wapo waliofanikiwa kufika ng?ambo lakini wanaishi na kulala mitaani na hawana namna yoyote ya kurudi nyumbani.

PVP
5,89